Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Si nilikwambia watakuja!
Definitely not me!
Yup majukumu!Naona wanakuja kwa kasi.
Wanaosema hivyo hawajatoka wakaenda huko na kuona nchi zingine zilivyo na shida na watu wanavyoteseka. Tanzania is a paradise!Definitely not me!
I'm totally in love with my amazing country TANZANIA!
Hamna kama nchi yangu Tanzania Dunia nzima!
YaaalaUkiona mtu amekuwa komandoo jua kuwa kapitia mengi!
TrueWanaosema hivyo hawajatoka wakaenda huko na kuona nchi zingine zilivyo na shida na watu wanavyoteseka!
Hatareee
Sis, ulipitia JKT?Yaaala
Hizo point anazotoa jamaa hapo ni kutoka kitabu kinaitwaMnaongelea kitabu gani wakuu?
Indeed ruvu,Sis, ulipitia JKT?
Asante. Hata kama ni wasomaji wazuri kama hawajakisoma je? Mimi nafakamia sana vitabu lakini kitabu hicho ndo nakisikia leo. Ni issue ya interests tu!Hizo point anazotoa jamaa hapo ni kutoka kitabu kinaitwa
How to overcome fear.
Kwa wasomaji wazuri wanajua.
HahahahaView attachment 539704 hawa watu wangeruhusu tuwajibu