Leo hatujaziona...huwa zinachangamsha..Naona simu yake bado inakorofisha. Picha zake zile chekeshi !
Videnis vingine vidogo vidogo ntakutupia uvishughulikie wewe!Ndio bwana denis
Numbisa anatatizo la simu?Numbisa wapi? Simu imegoma?
Haiwezi kwishaHaiishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati nakuuliza ulikuwa na speed ya ndege isiyo na rubaniKwanini umeniuliza hivyo?