Woyooooo...Am back brother...najua vile unanichukiaNipo poa nakumiss tu
Hahahahahaha
Unatakiwa kuwashia nje maana ndani utachoma nyumba.Hahahha upewe kazi ya kuiwasha jioni na Bibi yako halafu ije na masinzi..... utakoma
CocoKila apigaye mlango hupata majibu.
Hakuna mkuu si ndio tumeingia baada ya kupigwa roba ya majukumuNinjaaaaa niko bize kidogo ninjaaa ntarudi humu baada kama ya saa chache
am back brother, jamaa uliye doda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wera weraaaaaHatari sana