cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Coco
Ndio mkuuWakuu
the great
Napata moto sana nafikiri nitakaa na kichwa kichafu kuweka mitego humu ambaye hatoi likes naye no likes hili kulifuatilia ni rahisi kwanguShida kubwa ni ugumu wa watu kutoa likes. Moto umeshaisha may be it is approaching the end. Nyuma tu hapa post kibao zina ka like kamoja moja tu..
Hahahaha....Tutaonana tena jamani
Hahaaaa long time. Siku hizi wana jua solar tuUnatakiwa kuwashia nje maana ndani utachoma nyumba.
Unaifuta kitu kinang'aa hamna masizi
Hamna hun, nilikua nataka kuaga nikagundua naweza kubaki kidogo..Nini tena mpenzi na barafu wa moyo wangu
HahahahsNilimwambia aachane na tecno akajifanya eti
NAIPENDA huku vidole vitatu juu
Something wrongWakuu, tatizo ni nini hasa? Mbona hakuna likes za kutosha na watu tumo humu tunapost? What is going on. The rule is very simple: USIRUKE POST BILA KUTOA LIKES.
Zinapungua kwenye serverKwanini uhaba?
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
TupoSjui wameenda wapi