Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi mbona najuta kuchelewa kukutana na wewe mama.

Hivi nilikuwa wapi???


Jovitha hebu karibia haraka kwa kweli maana vichwa vimekuwa active mode. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usijali hata hivyo mbn hujachelewa sana ngoja nikuhamishie pm humu wakware wengi hawakawii kuniteka, na mm shetani wangu hela[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…