mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Faudu masaki mkuu. Ibada leo saa ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nalala kwa my Queen ISIS the one and only
Mbona bado mapema? Wanga sasa hata maandalizi hayajaanza. Au wa hapa Koromije wana ratiba tofauti?mida ya wanga
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Kaka na mume at the same time [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]OSIRIS
Mwanao huyo ama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HORUS