myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sababu sijatandika jamvi mkuu, mda nnaodekshia ndio natoa like nasepa. Like nimemwaga za kutosha ila naona Arage limemchanganya mkuu![HASHTAG]#mpenda[/HASHTAG] arage unajitahidi kwa kiasi chako kutoa likes
ha arage ni bonge moja la IDSababu sijatandika jamvi mkuu, mda nnaodekshia ndio natoa like nasepa. Like nimemwaga za kutosha ila naona Arage limemchanganya mkuu!
Arage Jekundu.
Nifanye yako?Acha maovu yako
Sawa baba palokoWapenzi waongeze mapenzi kwa wenzao
Ukiacha na mia nikiacha utafanya ya nani!!Nifanye yako?
Hahahaha ya shetaniUkiacha na mia nikiacha utafanya ya nani!!