Shetani atakuruka..ushamuona?Hahahaha ya shetani
Gonga likes upate likedBundi sio popo...ngariba haogopi mkojo mwendo mdundo dereva na gia abiria chunga mzigo ukiendekeza njaa utakula hata makofi
Gonga likes upate likes
asante sana mkuuKaribu mkuu
Likes kwa posti..gonga likes upate likesBundi sio popo...ngariba haogopi mkojo mwendo mdundo dereva na gia abiria chunga mzigo ukiendekeza njaa utakula hata makofi
Pamoja mkuuTwende sambamba myoyambendi
Aaa wapi. Mbona mi naweza kupumzika wakati wo wote ninaotaka?Uzi huu ni uraibu..kuliko bangi
Lakini unarudi humu!!Aaa wapi. Mbona mi naweza kupumzika wakati wo wote ninaotaka?
Ni kweli. Yaani nikishika simu kitu cha kwanza ni katika uzi huu. Majukwaa mengine hata sijui kama yapo!Lakini unarudi humu!!
Mchana usiku tuko pamoja..
Ni kweli. Yaani nikishika simu kitu cha kwanza ni katika uzi huu. Majukwaa mengine hata sijui kama yapo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli. Yaani nikishika simu kitu cha kwanza ni katika uzi huu. Majukwaa mengine hata sijui kama yapo!
Gonga likessaa saba kasoro