HahahahhaaMhenga wangu mzee wa liver
Lugha imekuja kwa usafiriGood morning dirty head
Kizungu bwana
Na likes kama kawaida
Hahahahaha ndio uraibu huoNi kweli. Yaani nikishika simu kitu cha kwanza ni katika uzi huu. Majukwaa mengine hata sijui kama yapo!
Kweli hili chimbo hatariUchimbaji wa madini haujawahi muacha mtu salama
Hahahahahahahahaha