HahahahaAcha kua kama mshumaa kwa kujimaliza wewe mwenyewe ili uwamulikie wengine!
Upo mamaaaamzee wa liver...
Pamoja kiongoziNa kwako
Ndio mkuuHata Simba kibogoyo bado atakua ni Simba tu na utamuogopa vile vile!
Njema kabisa bossHabarini za asubuhi wakuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tunajaribu kwenda na kasi ya awamu ya tano🙂
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Tra wanatakiwa kufanya kazi masaa 24, hasa kipindi hiki cha kulipia kodi ya majengo
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Nzuri Mkuu karibuHabarini za asubuhi wakuu