Watamu balaaWa Kigoma!
Hahahahaha sawa cocochanel nikukuelewaHapana aiseee chukulia ni kupendwaaaaaaa
Ila kivingine ndio eeeeeeh
Hayo siyajui tena mimi
Na nyie wanaume mnapendaaaaaaaaa
Nilikupotea. Umebadilisha avatar na kumtoa yule mhenga wa Papua New Guinea [emoji23][emoji23][emoji23]
hasa wakikaangwa!Watamu balaa
Una kacheo huko mkuu? Hata ka ufagizi wa ofisi? [emoji23][emoji23][emoji23]Chaputa
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Ninja kweli we kanjanja sanaHahahaha sio kweli ninja