Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikua na shida ya simu kuzingua nikauliza humu nikapewa solution badala ya kuambiwa nenda jukwaa husika. Kuona wenye shida wakijibiwa vibaya inanishangaza na kujiuliza mbona sikujibiwa hivyo kwa ubaguzi umeanza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…