Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi mna nini hata mmekuwa makundi mawili kuhusu wanafiki, na hali Allaah Amewageuza (warudie ukafiri) kwa sababu ya waliyoyachuma? Je, mnataka kumhidi ambaye Allaah Amempotoa? Na aliyepotozwa na Allaah basi hutompatia kamwe njia (ya kumhidi).
 
Wanatamani kama mtakufuru kama walivyokufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye miongoni mwao marafiki wandani na walinzi mpaka wahajiri katika Njia ya Allaah. Wakikengeuka basi wakamateni na waueni popote muwapatapo. Wala msimfanye yeyote kati yao kuwa rafiki yenu wala msaidizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…