myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🤲🤲Anawaahidi na anawashawishi matamanio ya uongo. Na shaytwaan hawaahidi isipokuwa ulaghai tu.
SahihiAnawaahidi na anawashawishi matamanio ya uongo. Na shaytwaan hawaahidi isipokuwa ulaghai tu.
Kweli kabisaAnawaahidi na anawashawishi matamanio ya uongo. Na shaytwaan hawaahidi isipokuwa ulaghai tu.
Sahihi kabisaNa hakika nitawapoteza, na nitawashawishi matamanio ya kulaghai, na nitawaamrisha. Basi watakata masikio ya wanyama (wawatukuze), na nitawaamrisha watabadili Uumbaji wa Allaah. Na atakayemfanya shaytwaan kuwa rafiki mlinzi badala ya Allaah basi kwa yakini amekhasirika khasara bayana
✔️✔️Hakuna kheri katika minong’ono yao mingi isipokuwa anayeamrisha kutoa swadaqa, au mema, au kusuluhisha baina ya watu. Na atakayefanya hivyo kutaka Radhi za Allaah, basi Tutampa ujira mkubwa kabisa.
✔️✔️👍Allaah Amemlaani. Na (shaytwaan) akasema: Kwa hakika nitashika katika waja Wako sehemu maalumu!
✔️👍Wazazi wanahofia maisha yangu na mimi nahofia maisha Bila ya wazazi, Mungu awape maisha marefu wazazi wetu.
SawaUsipoijali afya yako kwa kigezo cha kutafuta sana pesa. Utakuja kuitumia pesa sana Kuijali Afya yako.
✔️✔️👍Usikubali mitandao ya kijamii ikupe stress, Hakuna mtu anapost Matatizo yake humu ndani. Ishi vile uwezo wako unakuruhusu Usi-force.
Ukala mbegu.....Furaha ya wanaokula mavuno yao. Isikuchanganye Ukala mbegu zako.
Usilazimishe ......Usikubali mitandao ya kijamii ikupe stress, Hakuna mtu anapost Matatizo yake humu ndani. Ishi vile uwezo wako unakuruhusu Usi-force.
AminWazazi wanahofia maisha yangu na mimi nahofia maisha Bila ya wazazi, Mungu awape maisha marefu wazazi wetu.
🤲🤲🤲Wazazi wanahofia maisha yangu na mimi nahofia maisha Bila ya wazazi, Mungu awape maisha marefu wazazi wetu.
Heshima.....Usikubali utu na ustarabu ulionao viwe sababu ya watu Kukuzoea zoea sana Kukuvunjia Heshima.
AiseeUsiache kujiombea kila siku, maana watu hawafurahii kukuona hapo ulipo, Furaha yao kubwa ni Kukuona unateseka kwenye hii Dunia.
✔️👍Usiache kujiombea kila siku, maana watu hawafurahii kukuona hapo ulipo, Furaha yao kubwa ni Kukuona unateseka kwenye hii Dunia.
SawasawaKuna time hauna hela. Wala hauna hata hela unayo isikilizia. Hii ndio time mtu anakuaga na Hasira hasira muda wote
SafiiiiiMwenye neema ya Mungu hata ukimfukuza sehemu. Ataenda sehemu nyingine kuanzisha kitu kilele na mambo yatakua Safi tu.
NakubaliKuna time hauna hela. Wala hauna hata hela unayo isikilizia. Hii ndio time mtu anakuaga na Hasira hasira muda wote
Kwenye hili kweliUkiona unataka uonekane mzuri kwa kila mtu ujue umeanza Maisha ya Kinafki