myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nakubali🤲🤲Mwenyezi Mungu atuepushe na Changamoto ambazo pesa Haiwezi Kuzitatua.
SawaMwenyezi Mungu atuepushe na Changamoto ambazo pesa Haiwezi Kuzitatua.
SawasawaMwenye neema ya Mungu hata ukimfukuza sehemu. Ataenda sehemu nyingine kuanzisha kitu kilele na mambo yatakua Safi tu.
🙏🙏Leo uko juu ya ardhi kesho utakua chini ya ardhi. Ishi kwa unyenyekevu. Kiburi nguvu na madaraka uliyonayo sasa kesho Havitakuwepo Be humble.
Ujumbe huoJifunze kukaa kimya sio kila mtu yuko upande wako. Wengine wanahitaji wajue mipango yako Ili wakapange mipango Yao.
Ujumbe muhimuJifunze kukaa kimya sio kila mtu yuko upande wako. Wengine wanahitaji wajue mipango yako Ili wakapange mipango Yao.
Sawasawa ✔️Hakuna kikomo cha Mungu kukuinua ikiwa utaendelea kuwa mnyenyekevu mbele yake
SahihiDhumuni la mahusiano ni kuongeza furaha,amani na maendeleo katika maisha.Ukiona uko na mtu unakosa furaha basi tambua hauko sehemu iliyo bora".
SahihiDhumuni la mahusiano ni kuongeza furaha,amani na maendeleo katika maisha.Ukiona uko na mtu unakosa furaha basi tambua hauko sehemu iliyo bora".
Ujumbe muhimu piaBinadamu wanakua na roho mbaya. Sababu walisha tenda sana wema. Na hawakuona faida ya wema wao.
✔️✔️Hakuna mtu atakae kuja kukupa maisha ya ndoto zako ni lazima ujipambanie mwenyewe.
🙏🙏Hakuna mtu atakae kuja kukupa maisha ya ndoto zako ni lazima ujipambanie mwenyewe.