Ipo siku Mungu atabadilisha Majira na nyakati zako ngumu kuwa baraka kwako ile Huzuni na Machozi yako yatageuka kuwa furaha kwako Usiache kumuamini kila wakati wewe ni wa Thamani sana