moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
🙏Usiku mwema wakusoma na waalimu wenu..
🤲Usiku mwema walezi wa familia zetu
🙏🙏🙏Usiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, kesho nayo siku..
🙏🙏Usiku mwema mamalishe wote, Usiku wa kula huu..
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa safarini leo..
🙏Usiku mwema mliokuwa maofisini leo..weekend inanukia..
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini leo Kesho nayo siku.
🙏🙏Usiku mwema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko..
Amin 🙏Mungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
AminMungu awaponye wagonjwa 🤲 🙏
HatariiiHidaya anatupa mashaka
View attachment 2980003
🤣🤣🤣Dikteta mwenye sera za kibaguzi
View attachment 2979996
Mungu awarehemu🙏🙏Wapumzike kwa Amani
View attachment 2979981