[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui nimerogwa?????[emoji23] [emoji23] [emoji23] muzee ya kuachwa na kurudiwa
Ndo unaaga au?Habari zenu.
Wote ni wazima na imani hiyo.
Usiku mwemah wakuu
pema sanaGood night
Hivi umekuwa mfanyakazi wa grobo pabulisha??unavimaswali vya kumtesa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu mbona anasema hamjaachana?au ndo amekukimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dom kuna baridi aisee nilikuwa huko last week kuanzia saa kumi jioni baridi lake sio la mchezoTupo makao makuu ya nchi hapa kabaridi kama cha A town kwa mbali
Goodnight rooney na everton . hope one day man u na liver zitatua nchinGood night Tanzania
Pole eehKweliiii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]