mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,661 Kwa kuiona siku hii ya leo
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,662 Kwanza kabisa niliona uvimbe mnamo mwezi Mei nilipokuwa ninaoga. Kisha ukawa uko tu na hapo ndio nilipoanza kujiuliza maswali.
Kwanza kabisa niliona uvimbe mnamo mwezi Mei nilipokuwa ninaoga. Kisha ukawa uko tu na hapo ndio nilipoanza kujiuliza maswali.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,663 Wengi walitamani kuiona siku hii ya leo
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,664 Baada ya siku chache nikaamua kumuona Lakini bahati mbaya kwasababu ya Covid-19 nilipoenda hospitali daktati alikuwa amevaa mavazi rasmi ya kujikinga na ikawa vigumu kwake kunifanyia vipimo kimamilifu.
Baada ya siku chache nikaamua kumuona Lakini bahati mbaya kwasababu ya Covid-19 nilipoenda hospitali daktati alikuwa amevaa mavazi rasmi ya kujikinga na ikawa vigumu kwake kunifanyia vipimo kimamilifu.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,665 Kuliona jua la siku ya leo
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,666 Lakini Kwa mapenzi yake yeye Mola wetu
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,667 Alinipa ushauri wa kuweka majani ya kabeji la baridi kifuani na kusema kuwa uvimbe umesababishwa na mabadiliko ya homoni kutokana na ujauzito. Nikaondoka nikiwa nimeamini ushauri wa mtaalamu wangu.
Alinipa ushauri wa kuweka majani ya kabeji la baridi kifuani na kusema kuwa uvimbe umesababishwa na mabadiliko ya homoni kutokana na ujauzito. Nikaondoka nikiwa nimeamini ushauri wa mtaalamu wangu.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,668 Hatunao tena
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,669 Lakini baada ya wiki tano uvimbe huo ulikuwa umetanda hadi eneo zima la titi. Ukawa unakua kweli na kulazimika kumuona daktari tena.
Lakini baada ya wiki tano uvimbe huo ulikuwa umetanda hadi eneo zima la titi. Ukawa unakua kweli na kulazimika kumuona daktari tena.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,670 Tumshukuru Kwa Upendo wake
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,671 Baada ya kuona kuna kitu ambacho hakiko sawa, wakaamua kupiga picha mkono wangu wote pamoja na sehemu yake ya chini Wakati huo nikiwa na ujauzito wa miezi 35, nikabaini kwamba nina saratani ya matiti. Nilipata na mshtuko kweli.
Baada ya kuona kuna kitu ambacho hakiko sawa, wakaamua kupiga picha mkono wangu wote pamoja na sehemu yake ya chini Wakati huo nikiwa na ujauzito wa miezi 35, nikabaini kwamba nina saratani ya matiti. Nilipata na mshtuko kweli.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,672 Tumshukuru Kwa Upendo wake
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,673 Binti yangu, Brodie- Rey alizaliwa mapema kwa wiki tatu kupitia maji ua uchungu na pia nilifanikiwa kumnyonyesha mara moja tu. Lakini siku ya pili madaktari walinipa matibabu ya kuzuia maziwa kutoka na sikuweza tena kumnyonyesha baada ya hapo.
Binti yangu, Brodie- Rey alizaliwa mapema kwa wiki tatu kupitia maji ua uchungu na pia nilifanikiwa kumnyonyesha mara moja tu. Lakini siku ya pili madaktari walinipa matibabu ya kuzuia maziwa kutoka na sikuweza tena kumnyonyesha baada ya hapo.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,674 Tumshukuru Kwa Nguvu zake
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,675 Nilimaliza matibabu ya kemikali hivi karibuni na sasa naendelea kupata afueni nyumbani. Niliarifiwa ratiba yangu ya matibabu baada ya mtoto kuzaliwa na kufahamishwa kuwa sitaweza tena kumnyonyesha.
Nilimaliza matibabu ya kemikali hivi karibuni na sasa naendelea kupata afueni nyumbani. Niliarifiwa ratiba yangu ya matibabu baada ya mtoto kuzaliwa na kufahamishwa kuwa sitaweza tena kumnyonyesha.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,676 Tumshukuru Kwa Wema wake
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,677 Tumshukuru Kwa Fadhili zake ambazo ni za milele
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 May 31, 2024 #1,428,678 Pia nilipewa dawa za kufanya hedhi kukoma ili kulinda mayai ya uzazi yasiathirike kutokana na tiba ya kemikali. Na ikiwa mayai yangu ya uzazi hayatafufuka huenda nikapoteza uwezo wangu wa kuuza.
Pia nilipewa dawa za kufanya hedhi kukoma ili kulinda mayai ya uzazi yasiathirike kutokana na tiba ya kemikali. Na ikiwa mayai yangu ya uzazi hayatafufuka huenda nikapoteza uwezo wangu wa kuuza.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,679 Tumshukuru Kwa Baraka zake
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 May 31, 2024 #1,428,680 Tumshukuru Kwa Afya njema anazotujalia