moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asilimia kubwa ya wanawake ni WAGONI, Wadanganyifu, wasaliti na hawaaminiki.View attachment 3004456
Aisee fear women kweli watatu at least mmoja ungesema bahati mbaya zaidi pastor wake ndio mzazi mwenzie unaweza ua kanisani zima
Hii habari ni kweli ama
Inaumiza sana jamaa hata Carrier yake ya soka ipo mashakani Kila akifikiria hilo jamboAsilimia kubwa ya wanawake ni WAGONI, Wadanganyifu, wasaliti na hawaaminiki.
Kuna wakati nafikiria kuishi maisha ya upweke.
Unaenda kujichanganya club mpaka midnight unarudi kwako kulala tu.
Pumbafu sana
Inawezekana kabisaKazi yako kusimika nguzo tu.
Tukajenge daraja from Dar to Zanzibar kupitia mashine kama hiyo