Mtanyooka tu
Ni yule muhenga aliyesema "Jungu kuu halikosi ukoko".
Aisee magu anajua kunyoosha watu, huu msosi juzi juzi nilinunuaga kwa 35,000... leo msosi ule ule nimeuziwa kwa 15,000. Hoteli hazina wateja tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vijana hawa nenda nao pole pole tu. Wengine wanatest zali tu hawa...Jiheshimu bwana mdogo wewe shaaaaaaaaaa
Kiroja ukichoandika eeeeeh
Kweli aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Hizi likes zingekua pesa watu tungeuana humu.
Hapa kwema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana wa pwani mlivyo ving'ang'anizi sasa,haya icheze hiyo ngoma mkuu.Mambo vipi baba,kwema huko?
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Buhange pokea like, tusalimie wahenga wa hukoHahahahahaha! haya tena wadau nasubiri like
Tupo mkuu. Nsamaka amekuja hapa na amekukana mkuu. Wale ng'ombe 10 uliosema ulitoa kama mahari ulimpa nani? Au ilikuwa ni hoax?Hali zenu
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Umechukua muda gani kufikia hiyo 237K?Makapuku Forum.
Una 237k replies hadi sasa
Mimi Nina miezi karibu miwili sipati notifications lakini mambo yanaenda...Mbona sipati notification!
Kulikoni wadau?
How were the exams Cherrie Neisha? I hope you did well...Challenges are inevitable
Nzuri sanaHali zenu
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Gr8 kwa kwelihabari za saa hii
Uniq atafutwe na aulizwe vizuri...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi ho chi minh
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app