myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️Inaseekana kuwa asilimia 89 ya watu wazima wenye ugonjwa wa ngozi kujibambua wanahisi kuwa umuhimu wao ni kidogo sana maishani.
📌📌Anna Byard-Golds amekuwa na ugonjwa wa kubambuka ngozi katika maisha yake yote.
✔️✔️Nilianza kujitambua nikiwa na umri wa miaka minne au mitano. Niligundua kuwa mikono yangu ni tofauti na ya watoto wengine na pia nilihisi sifanani na wengine," amezungumza na kipindi cha BBC cha Newsbeat.
😁😁View attachment 3012789
Unànionea hahaha
Kumbukumbu nzuri
SawaTunabadirisha uongozi kwa njia za kidemokrasia.
Ni jambo la kujivunia sana.
Hatujawahi kuzalisha kiongozi aliyeingia kwa ghasia na mauaji.
View attachment 3012777
Mungu atujaalie tuendelee hivyo daima dumu
🤣🤣Halafu wewe acha tabia yako ya kuongea ongea ujingaView attachment 3012752
Wapumzike kwa amani 🙏