myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUnene na uzito wa mwili wa kupita kiasi: Ukubwa wa mwili unahusishwa na matatizo mbali mbali ya afya. Kuna kitu kimoja kinachopunguza hatari ya maambukizi kwa mwanamke- Kunyonyesha kunapunguza hatari ya maambukizi kwa mwanamke, wanasema wataalamu wa afya.
✔️✔️Kuufunga ukurasa uliopita haimaanishi kwamba umeusahau, bali humaanisha hutaki kuupa nafasi ya kukuendesha
👍Nyakati Ngumu hazidumu ila watu wagumu wanapitia Nyakati ngumu halafu wanadumu tena sana
Uvumilivu..Huwezi kuwa na Uvumilivu kama huna Imani.Tengeneza kwanza Imani ndani yako ili Uwe na Uvumilivu
UvumilivuHuwezi kuwa na Uvumilivu kama huna Imani.Tengeneza kwanza Imani ndani yako ili Uwe na Uvumilivu
SawaKuna Mambo mengine yanatokea ndivyo sivyo kwasababu ya Mdomo Jifunze namna ya Kuongea,au Kaa kimya
SawaUmekosa ulichokosa,si kwasababu una Bahati mbaya,bali kwasababu hekima ya Mungu ni kubwa kuliko Mipango yako
SawaHuwezi kupanga matukio gani yatokee katika Maisha yako lakini Unaweza kupanga cha kufanya kwa kila tukio lenye kutokea Maishani mwako
NakubaliChukua hii mwanangu, Ogopa sana kwenye Haya maisha kupendwa na Kila mtu. OGOPA
SawaMungu hafanyi kwa sababu unatia huruma Mungu anafanya kwa wenye juhudi na wenye imani
AiseeUnapoendelea kusubiria yeye ndio aanze kukutafuta. Ndivyo unavyo ongeza uwezekano mkubwa wa Kumpoteza
Kweli kabisaNyakati Ngumu hazidumu ila watu wagumu wanapitia Nyakati ngumu halafu wanadumu tena sana
SawaPunguza kuwa mwema sana kwa hii Dunia. Kumbuka mti ulionyooka vizuri ndio huwa wa kwanza kupasuliwa mbao
SawaPunguza kuwa mwema sana kwa hii Dunia. Kumbuka mti ulionyooka vizuri ndio huwa wa kwanza kupasuliwa mbao