moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,881
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,882
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,883
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,884
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,885 Pandeni mkangafu, Mchongoko ujipange
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,886
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,887
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 13, 2024 #1,431,888
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,889 Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafe maishani.
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafe maishani.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,890 Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinwa, kifo kimenikabili, Semeni niseme nini, kiwafae maishani
Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinwa, kifo kimenikabili, Semeni niseme nini, kiwafae maishani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,891 Yakawatoka kinywani, maneno yenye akili, Baba yetu wa thamani, sisi tunataka mali, Urithi tunatamani, mali yetu ya halali, Sema iko wapi mali, itufae maishani
Yakawatoka kinywani, maneno yenye akili, Baba yetu wa thamani, sisi tunataka mali, Urithi tunatamani, mali yetu ya halali, Sema iko wapi mali, itufae maishani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,892 Baba aliye kufani, akajibu lile swali, Ninakufa maskini, baba yenu sina hali, Neno moja lishikeni, kama mnataka mali, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Baba aliye kufani, akajibu lile swali, Ninakufa maskini, baba yenu sina hali, Neno moja lishikeni, kama mnataka mali, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,893 Baba aliye kufani, akajibu lile swali, Ninakufa maskini, baba yenu sina hali, Neno moja lishikeni, kama mnataka mali, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Baba aliye kufani, akajibu lile swali, Ninakufa maskini, baba yenu sina hali, Neno moja lishikeni, kama mnataka mali, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,894 Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali, Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili, Akili zetu nyembamba, hazijajua methali, Kama tunataka mali, tutapataje shambani
Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali, Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili, Akili zetu nyembamba, hazijajua methali, Kama tunataka mali, tutapataje shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,895 Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali, Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili, Akili zetu nyembamba, hazijajua methali, Kama tunataka mali, tutapataje shambani
Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali, Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili, Akili zetu nyembamba, hazijajua methali, Kama tunataka mali, tutapataje shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,896 Baba aliye kufani, akajibu lile swali, Ninakufa maskini, baba yenu sina hali, Neno moja lishikeni, kama mnataka mali, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Baba aliye kufani, akajibu lile swali, Ninakufa maskini, baba yenu sina hali, Neno moja lishikeni, kama mnataka mali, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,897 Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali, Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili, Akili zetu nyembamba, hazijajua methali, Kama tunataka mali, tutapataje shambani
Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali, Baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili, Akili zetu nyembamba, hazijajua methali, Kama tunataka mali, tutapataje shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,898 Kwanza shirikianeni, nawapa hiyo kauli, Fanyeni kazi shambani, mwisho mtapata mali, Haya sasa buriani, kifo kimeniwasili, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Kwanza shirikianeni, nawapa hiyo kauli, Fanyeni kazi shambani, mwisho mtapata mali, Haya sasa buriani, kifo kimeniwasili, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,899 Alipokwisha kutaja, fumbo hili la akili, Mauti nayo yakaja, roho ikaacha mwili, Na watoto kwa umoja, wakakumbuka kauli, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Alipokwisha kutaja, fumbo hili la akili, Mauti nayo yakaja, roho ikaacha mwili, Na watoto kwa umoja, wakakumbuka kauli, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 13, 2024 #1,431,900 Fumbo wakatafakari, watoto wale wawili, Wakakata na shauri, baada ya siku mbili, Wote wakawa tayari, pori nene kukabili, Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Fumbo wakatafakari, watoto wale wawili, Wakakata na shauri, baada ya siku mbili, Wote wakawa tayari, pori nene kukabili, Kama mnataka mali, mtayapata shambani