Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Endometriosis ni ugonjwa ambao huhusisha seli zinazofaa kuwa ndani ya mji wa uzazi kuwa nje ya mji huo.
"Sikuwahi kufikiria kuwa siku yangu ya kwanza kuanza kupata hedhi ningeweza kuanza kupata maumivu makali ambayo yamekuwa ni vita vikali katika maisha yangu," anasema Jahmby.
 
Kugundua tatizo​

Kuanzia hapo kila mwezi hedhi zake ziliandamana na uchungu usioeleweka.
Lakini licha ya uzito wa tatizo hilo Jahmby alikuwa anavumilia hali, akidhania kuwa kila mwanamke alikuwa anapitia hayo wakati wa hedhi.
 
Jahmby alilelewa na mama yake pamoja na bibi , na anasema walimfundisha haja ya kuwa mvumilivu na mkakamavu katika kila hali za maisha. Na kwa hivyo, nyakati za hedhi jamii yake ilimtaka atumie dawa za kumsaidia kustahimili uchungu ulioandamana na hedhi.
 
Masomo yake hususani ya chuo kikuu yalikumbwa na misukosuko mingi tu , na wakati mwingi alikuwa hawezi kumakinika chuoni wakati wa hedhi yake.
Anakumbuka nyakati ambazo karatasi za mtihani zingekuwa mbele yake lakini kwa uchungu angekosa kuandika chochote.
 
Alijitosa kwenye utangazaji na akawa amesifika nchini Kenya kwa mtindo wake wa kupeperusha habari na masuala yanayohusu mziki na maisha ya wafuasi wa nyimbo za mtindo wa reggae na miondoko yake.
Kati ya 2015-2007, hali yake ilidhoofisha afya yake mno, kiasi cha kuathiri utendakazi wake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…