Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upasuaji hatari​

Jahmby Koikai , aliendesha kampeni iliyofanikiwa ya kuchangisha fedha kupitia kampeni mbali mbali , shughuli hii ilimwezesha kukidhi gharama za matibabu huko Marekani .
Mwaka wa 2018 yeye na mama yake waliandamana hadi jimbo la Atlanta, mji mkuu wa jimbo la Georgia kutafuta matibabu zaidi .
 
Wakati huo nilikuwa nimedhoofika mno kiafya , lakini sikukata tamaa ya kuwa ningepona na kurejelea ndoto zangu," anasema Jahmby
Alipokuwa anasafiri kwenda Marekani kupata matibabu, alifikiri atakuwa hospitalini kwa siku tatu na atarudi Kenya baada ya mwezi.
 
Mambo yakawa mabaya kuliko vile alivyofikiria. Matibabu yake ambayo yalihusisha upasuaji mara kadhaa yalikumbwa na changamoto na mapafu yake yalikuwa yameathiriwa na kuingiliwa na seli za hedhi.
Hali hii ilizidisha ugumu wa matibabu.
 
Baadhi walinukuliwa kwenye baadhi ya mitandao nchini Kenya kwa madai kuwa alikuwa ameaga dunia akiwa hospitalini Marekani.
Ila kile ambacho watu wengi walikuwa hawajui ni kuwa Jahmby alikuwa anapigania uhai wake akiwa chumba cha upasuaji mara kwa mara.
 
Wakati wa upasuaji, mapafu yangu yalizua changamoto kubwa kwa madaktari kwani mapafu yangu ya kulia yalikuwa yanaporomoka mara kwa mara. Shida hii na zingine nilizozipata, pamoja na moyo wangu kuwa na matatizo na hata mfumo wa meno yangu, ilihitaji ufuatiliaji wa karibu na madaktari na wauguzi," anasema.
 
Anapofikiria alipotoka kwenye mashine zilizokuwa zinausaidia mwili wake hospitalini, anafahamu ni mapenzi ya mwenyezi Mungu kwamba yuko hai leo .

"Siku moja kabla ya upasuaji, mmoja wa madaktari wa upasuaji alinishika mkono na kuniombea. Hii ilisaidia sana kupunguza wasiwasi wangu. Ujuzi na maarifa yaliyoonyeshwa na timu nzima yalikuwa vya kushangaza. Ninawashukuru milele kwa matibabu ya kubadilisha maisha niliyopokea," anasema Jahmby.
 
Lakini pia kuna upasuaji mmoja ambao sitowahi kuusahau huu ulikuwa wa dharura, kabla sijaondoka hospitalini. Iligunduliwa tena kuwa nilikuwa na maji kwenye mapafu yangu. Tayari nilikuwa nimepitia uchungu mwingi wa kuondolewa maji, ila mchakato wa kujaribu tena kutoa maji yale nusura unitoe uhai wangu," Jahmby anakumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…