Lakini pia kuna upasuaji mmoja ambao sitowahi kuusahau huu ulikuwa wa dharura, kabla sijaondoka hospitalini. Iligunduliwa tena kuwa nilikuwa na maji kwenye mapafu yangu. Tayari nilikuwa nimepitia uchungu mwingi wa kuondolewa maji, ila mchakato wa kujaribu tena kutoa maji yale nusura unitoe uhai wangu," Jahmby anakumbuka.