Kuoana kati ya watu wenye uhusiano wa karibu wa damu ni jambo la kawaida miongoni mwa makabila mbalimbali, huku baadhi yao wakifanya hivyo ili kuimarisha uhusiano ndani ya familia na wengine wakifanya hivyo ili mali ya familia ibaki ndani ya familia au ukoo