Dkt Ibrahim Musa, ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya damu, damu inayotengeneza viungo vya ndani ya mwili na magonjwa ya damu katika hospitali ya Malam Aminu Kano kaskazini mwa Nigeria , anasema ndao ya watu wenye uhusiano wa damu inauwezekano mkubwa wa kusababisha hatari ya magonjwa ya urithi kutoka kwa wazazi