Mnamo Julai 2021, kampuni kubwa ya nishati ya Ufaransa ya Total Energies ililazimika kusimamisha mradi wake wa gesi asilia iliyosafishwa wa $20bn (£16bn) kufuatia shambulio la kushangaza katika mji wa Palma.

Baada ya kutumwa kwa wanajeshi wa SADC na Rwanda mwaka huo huo, mashirika ya misaada na serikali yaliripoti kuwa usalama umeimarishwa katika baadhi ya maeneo na maisha ya kawaida yalikuwa yakirejea taratibu.

Tomas Queface, mtafiti katika tovuti ya Cabo Ligado ya Msumbiji inayofuatilia ghasia hizo, alisema wanamgambo hao walifanikiwa kuishikilia Macomia kwa siku mbili kwa kusajili wapiganaji zaidi wakiwemo watoto.

Ripoti ya kikundi cha kampeni cha Human Rights Watch ilitaja watu wawili kutoka kwa familia moja ambao walimwona mpwa wao mwenye umri wa miaka 13 akifanya uporaji pamoja na wanajihadi wakati wa shambulio hilo.

Tangu wakati huo, Tanzania imeimarisha usalama kwa kuweka amri ya kutotoka nje katika baadhi ya vijiji vya mpakani, kuongeza doria na kuzuia harakati kati ya nchi hizo mbili.