antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Duh'NiNGEKATWA KICHWA': UASI WA WANAJIHADI WAONGEZEKA NCHINI MSUMBIJI
✔️✔️Lakini suluhu pekee la muda mrefu ni kushughulikia changamoto za kijamii na kiuchumi zinazopatikana kaskazini mwa nchi, ambako viwango vya maisha ni vya chini kuliko kusini, na kuchochea malalamiko ya ubaguzi, ambayo yanatumiwa na wanajihadi.
AiseeAnahisi alikuwa na bahati ya kutoroka. Tumebadilisha jina lake kwa ajili ya usalama wake.
DuhBw Silva alisema ilichukua siku mbili kwa vikosi vya serikali kufika, lakini kufikia wakati huo wanamgambo walikuwa tayari wameondoka.
📌"Waliniambia nikimbie msituni la sivyo wataniua ikiwa ningebaki mjini."
📌📌"Walikuwa wamevalia mavazi ya kijeshi na wamebeba silaha nzito," alisema.
AiseeAlfane Silva, baba wa watoto watano, alisema kwamba alizuiliwa na kuhojiwa na watu wanane wenye silaha. Pia naye, hili si jina lake halisi.
📌📌📌MSF ilisema haikuwa na budi ila kuwahamisha wafanyikazi na kusitisha shughuli zake huko Macomia.
✅️Akiwa ameshtushwa na milio ya risasi alfajiri ya Mei 10, Bw Langa alichungulia nje ya dirisha lake na kuona watu wanne wenye silaha wamesimama nje ya nyumba yake katika mji wa Macomia, jimbo lililokumbwa na waasi la Cabo Delgado.
✅️✅️Wanajihadi walivamia kituo cha matibabu kinachoendeshwa na shirika la misaada la Médecins Sans Frontières (MSF), na kukamata magari na vifaa vya matibabu.