myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️"Nilikuwa na bahati walinitukana tu nilipokuwa nikikimbia," alisema.
DuhWapiganaji wanaohusishwa na kundi la Islamic State (IS) walilenga majengo ya serikali na wafanyakazi wake katika mji huo kabla ya kupora maduka na maghala.
AiseeZaidi ya watu 700 walitoroka mapigano hayo ya hivi punde huko Macomia, kulingana na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
SawaAfrika Kusini, ambayo kwa sasa inachangia zaidi ya wanajeshi 1,000 katika juhudi za kulinda amani, imesema itaweka wanajeshi wake nchini Msumbiji hadi mwisho wa 2024, lakini sio kama sehemu ya ujumbe wa Sadc.
Usalama...Dastan Kweka, mtaalamu wa masuala ya utawala nchini Tanzania, alisema kwamba mamlaka inatarajia usalama katika eneo hilo kuendelea kuzorota.
HatariiiiHata hivyo, Tanzania, ambayo inapakana na nchi hiyo upande wa kaskazini, itadumisha wanajeshi 300, linaripoti gazeti la kibinafsi la Zambeze, lenye makao yake makuu katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo.
📌📌Ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) wenye wanajeshi wapatao 2,000 kutoka nchi nane, umesema utaondoa vikosi vyake kutoka Msumbiji ifikapo tarehe 15 Julai, na kutoongeza muda wake wa miaka mitatu.
SawaBotswana na Lesotho tayari zimewaondoa wanajeshi wao, huku Angola na Namibia zikiwa katika harakati za kuondoka.
✅️✅️Botswana na Lesotho tayari zimewaondoa wanajeshi wao, huku Angola na Namibia zikiwa katika harakati za kuondoka.
📌📌Ilikuwa ni kupungua kwa ghasia hizo zilizozuka hivi punde zaidi huku vikosi vya usalama, vikisaidiwa na wanajeshi kutoka mataifa jirani, vikionekana kudhibiti hali hiyo.
SawaUjumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) wenye wanajeshi wapatao 2,000 kutoka nchi nane, umesema utaondoa vikosi vyake kutoka Msumbiji ifikapo tarehe 15 Julai, na kutoongeza muda wake wa miaka mitatu.
Watume kabisaKwa upande mwingine, Rwanda ambayo si sehemu ya Sadc lakini imeiunga mkono Msumbiji, ilitangaza kutuma wanajeshi 2,000 wa ziada nchini humo.
HatariKundi la al-Shabab lenye uhusiano na IS nchini Msumbiji - ambalo halina uhusiano na kundi lenye jina sawa na hilo nchini Somalia - limekuwa likifanya kazi huko Cabo Delgado tangu 2017
Hatari sanaMnamo Disemba 2023, Sadc ilituma wanajeshi wake DR Congo kusaidia serikali kupambana na maelfu ya vikundi vya waasi ambao wanasumbua mashariki mwa nchi.
AfadhaliKwa upande mwingine, Rwanda ambayo si sehemu ya Sadc lakini imeiunga mkono Msumbiji, ilitangaza kutuma wanajeshi 2,000 wa ziada nchini humo.
SawasawaAlisema muungano wa kikanda badala yake, umeelekeza zaidi juhudi zake katika kuleta utulivu kuliko na hali ya hatari huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
AiseeRwanda ilipotuma wanajeshi wake 1,000 wa kwanza mwaka 2021, ilisema inaunga mkono juhudi za kurejesha mamlaka ya serikali ya Msumbiji huko Cabo Delgado.
Mungu awalinde wananchiMeron Elias, mchambuzi wa Afrika Mashariki na Kusini wa shirika la Crisis Group, alisema ujumbe wa Sadc nchini Msumbiji unakabiliwa na matatizo ya kifedha, ukitegemea sana michango ya nchi wanachama ili kuendelea.