myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaMsemaji wa jeshi la Rwanda Brig-Jenerali Ronald Rwivanga aliambia BBC kwamba walikuwa "wakiimarisha" nguvu zao. Uamuzi huo hauhusiani na kujiondoa kwa Sadc au mashambulizi ya hivi karibuni, alisema.
📌📌Meron Elias, mchambuzi wa Afrika Mashariki na Kusini wa shirika la Crisis Group, alisema ujumbe wa Sadc nchini Msumbiji unakabiliwa na matatizo ya kifedha, ukitegemea sana michango ya nchi wanachama ili kuendelea.
✅️✅️Msemaji wa jeshi la Rwanda Brig-Jenerali Ronald Rwivanga aliambia BBC kwamba walikuwa "wakiimarisha" nguvu zao. Uamuzi huo hauhusiani na kujiondoa kwa Sadc au mashambulizi ya hivi karibuni, alisema.
Hawafai kabisaWaasi wake wameua mamia ya watu, kuchoma miji na vijiji na kufanya jamii kutoroka makazi yao.
DuhMajirani wa kaskazini mwa Msumbiji wanatazama kile kinachoendelea kwa woga.
Ni hatariTangu Desemba 2023 mashambulizi yamekuwa yakiongezeka tena.
Juhudi zinahitajikaRipoti ya kikundi cha kampeni cha Human Rights Watch ilitaja watu wawili kutoka kwa familia moja ambao walimwona mpwa wao mwenye umri wa miaka 13 akifanya uporaji pamoja na wanajihadi wakati wa shambulio hilo.
Hatua zaidi zichukuliweRipoti ya kikundi cha kampeni cha Human Rights Watch ilitaja watu wawili kutoka kwa familia moja ambao walimwona mpwa wao mwenye umri wa miaka 13 akifanya uporaji pamoja na wanajihadi wakati wa shambulio hilo.
Hiyo ni hatariZaidi ya watu 110,000 wamelazimika kutoroka makazi yao, kulingana na IOM.
SawaKwa bahati mbaya, maendeleo haya yalikuwa ya muda mfupi.
Hatari sanaWaasi wake wameua mamia ya watu, kuchoma miji na vijiji na kufanya jamii kutoroka makazi yao.
SawaBaada ya kutumwa kwa wanajeshi wa SADC na Rwanda mwaka huo huo, mashirika ya misaada na serikali yaliripoti kuwa usalama umeimarishwa katika baadhi ya maeneo na maisha ya kawaida yalikuwa yakirejea taratibu.
Duh!! Hatari sanaMnamo Julai 2021, kampuni kubwa ya nishati ya Ufaransa ya Total Energies ililazimika kusimamisha mradi wake wa gesi asilia iliyosafishwa wa $20bn (£16bn) kufuatia shambulio la kushangaza katika mji wa Palma.
Haikubaliki kabisaMnamo mwaka wa 2020, wanajihadi walishambulia vijiji vya mpakani mwa Tanzania, na kuua karibu watu 25, kupora maduka na kuchoma nyumba.
SahihiWataalamu wa usalama wa kikanda wanasema kwamba vikosi vya jeshi vya Msumbiji vinaweza kupata ushindi wa kijeshi ikiwa vitaimarishwa zaidi, na huu sio wakati wa kuwaondoa wanajeshi kutoka nchi za kigeni.
Ni kweliWakati huo huo, kuna wasiwasi kwamba kama uasi wa Cabo Delgado utaendelea zaidi, nchi nyingine jirani, kama Malawi, zinaweza kuathirika ikiwa waasi watavuka mpaka, kulingana na mchambuzi Meron Elias.
SawasawaBw Kweka alisema ingawa mkakati huu umefaulu umekuwa ghali. Bajeti ya ulinzi ya Tanzania imeongezeka kwa 10% kila mwaka tangu 2021.
SawasawaBw Kweka alisema ingawa mkakati huu umefaulu umekuwa ghali. Bajeti ya ulinzi ya Tanzania imeongezeka kwa 10% kila mwaka tangu 2021.
Juhudi zaidiTangu wakati huo, Tanzania imeimarisha usalama kwa kuweka amri ya kutotoka nje katika baadhi ya vijiji vya mpakani, kuongeza doria na kuzuia harakati kati ya nchi hizo mbili.