Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika Unao Wasaidia Kuna Wenye Shukran Ya Dhati Kwako Na Hukuombea Sana Kwa MUNGU Na Kuna Wale Ambao Hawana Shukran Wao Huangalia Mkono Unaowapa Tu Na Sio Moyo Wala Utu Wa Mtoaji Na Ukikwama Au Kuchelewa Kuwasiadia Walichoomba Hukuongelea Vibaya Kila Kona…
 
Mti Unaumia Sio Kwa Sababu Ya Ukali Wa Shoka Bali Kwa Sababu Ya Kuona Mkono Wa Shoka Unatokana Na Mti Huo Huo, Kuwa Makini Na Watu Wako Wa Karibu, Haijalishi Kama Ni Ndugu, Jamaa Au Rafiki, Chukua Somo Kupitia Mti Na Shoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…