Ukisikia Elimu Haina Mwisho Sio Kwamba Ni Elimu Hiyo Ambayo Ulikaa Darasani Ni Elimu Hii Ya Huku Kwenye Maisha Yenyewe Ndio Haina Mwisho, Moyo Uliyovunjika Au Kuvunjwa Vunjwa, Mifuko Mitupu Na Kuanguka Kwenye Ndoto Zako Ambazo Uliamua Kuziweka Kwenye Uhalisia