Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
🙏🙏Usiku mwema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
AminUwe usiku wenye amani na utulivu 🤲 🙏
A m inMungu awaponye wagonjwa 🙏 🤲
AminMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
🙏🙏Usiku mwema wakusoma na waalimu wenu
🙏🙏Usiku mwema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa safarini leo