moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AminMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
Iwe jioni njema yenye amani na utulivu 🤲 🙏
Iwe jioni njema yenye amani na utulivu 🤲 🙏
🙏Jioni njema wakusoma na waalimu wenu
🙏🙏Jioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote
🙏🙏Jioni njema walezi wa familia zetu
🙏🙏Jioni njema mamalishe wote,kesho nayo siku
🙏🙏Jioni njema mlio safarini leo
🙏🙏Jioni njema mlio kwenye daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko
🙏🙏Jioni njema mliokuwa maofisini leo, kesho nayo siku