Lazima anikane maana ng' ombe hawajafika shinyanga toka zizini msalala.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nsamaka alikuja kukukana hapa lol!
Amin na iwe njema kwako piaAhsante Mungu tumeamka salama,wale wote wasumbukao na matatizo akawafanyie wepesi.Siku ya leo ikawe ni ya baraka kwetu.Ninawatakia siku njema wote
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe sana ndugu yanguKwa muda huu nawaomba rukhusa nikajenge nchi yangu niipendayo ya TANZANIA. maana imesemwa KAZI MBAYA SI MCHEZO MWEMA. mliobaki hapa endeleeni kunipa likes na kukomment nikirirudi nitawajaza likes za kutosha
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji477][emoji477][emoji507][emoji507]Sober
Nipo mzee wa liver,kwema?Carbamazepine