Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawaUkipata nafasi ya kuwa na furaha, basi furahi sana sababu huwezi jua ume bakiza dakika ngapi kwenye uso wa dunia hii.
SawasawaUkweli kuhusu Dunia ya leo ni hatari kwa maisha yetu
KweliUki taka kutambua thamani ya ulicho nacho angalia idadi ya wanao kitafta.
✔️✔️Furaha ya kweli sio ghali, ikiwa ina hitaji bei ya juu basi elewa hio ni fake.
✔️✔️✔️Furaha ya kweli sio ghali, ikiwa ina hitaji bei ya juu basi elewa hio ni fake.
✔️✔️✔️Wakati mwingine ukweli huwa ndio sababu ya chuki!
AiseeUna weza kumpata mwanamke kwa kutumia uongo ila kamwe huwezi kumtunza kupitia uongo.
✔️✔️✔️Kuna wakati inabidi kutunza habari njema katika moyo wako, sababu majigambo yata kusogezea maadui watakao fanya juhudi za kukuangusha.
✅️✅️Kuna wakati inabidi kutunza habari njema katika moyo wako, sababu majigambo yata kusogezea maadui watakao fanya juhudi za kukuangusha.
✅️✅️Ukipata nafasi ya kuwa na furaha, basi furahi sana sababu huwezi jua ume bakiza dakika ngapi kwenye uso wa dunia hii.
✅️✅️Kuna wakati inabidi kutunza habari njema katika moyo wako, sababu majigambo yata kusogezea maadui watakao fanya juhudi za kukuangusha.
✅️✅️✅️Walio mtia yusufu kisimani ni nduguze
wa damu na walio muokoa ni wapita njia, ongeza umakini lakini pia ishi vizuri na watu
✅️✔️✔️Walio mtia yusufu kisimani ni nduguze
wa damu na walio muokoa ni wapita njia, ongeza umakini lakini pia ishi vizuri na watu
SawaUkipata nafasi ya kuwa na furaha, basi furahi sana sababu huwezi jua ume bakiza dakika ngapi kwenye uso wa dunia hii.
✔️✔️Mafanikio si tu kuhusu kile unacho fanikisha, bali ni kuhusu impact unayo iacha kwa wengine katika safari yako.
👍👍Katika sala zako muombe Mungu pale unapoyaona mafanikio ya wengine yakupe moyo wa kuzidi kupambana yasikujaze chuki na tamaa.
📌📌Usipo amua kujenga historia, basi historia ita kukumbuka kati ya wale walio shindwa kuijenga.