myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUsipo amua kujenga historia, basi historia ita kukumbuka kati ya wale walio shindwa kuijenga.
SawaIli kuyafikia malengo, mtu lazima akubali changamoto zinazo kuja nayo
πππKushindwa kujaribu ni jaribio la kushindwa.
πππKama leo hujui kitu gani ufanye kwa ajili ya kesho yako, basi hukujifunza kitu chochote kwenye safari yako ya jana.
βοΈβοΈβοΈLaiti kama wangetupa nafasi ya kutujua na kutusikiliza, huenda wasinge tuhukumu kwa habari walizozisikia kuhusu sisi.
SawaLaiti kama wangetupa nafasi ya kutujua na kutusikiliza, huenda wasinge tuhukumu kwa habari walizozisikia kuhusu sisi.
β οΈβ οΈβ οΈKatika sala zako muombe Mungu pale unapoyaona mafanikio ya wengine yakupe moyo wa kuzidi kupambana yasikujaze chuki na tamaa.
πππKatika sala zako muombe Mungu pale unapoyaona mafanikio ya wengine yakupe moyo wa kuzidi kupambana yasikujaze chuki na tamaa.
πβοΈπLaiti kama wangetupa nafasi ya kutujua na kutusikiliza, huenda wasinge tuhukumu kwa habari walizozisikia kuhusu sisi.
ππNi afya kujua kuwa sio kila mtu ame kusudiwa mfike wote katika safari ya maisha, wengine wata kuja na kuishia njiani hata kama una wahitaji vipi ila wata ondoka tu muda wao ukifika, wengine uta fika nao safari, hata kama kuna vikwazo milion lakini mtafika.
βοΈπβοΈWengi husema "ngoja tuone atafika wapi" au "utaishia wapi." Jifunze kujiamini hata kama huaminiwi. Watu hupenda matokeo, siyo mchakato. Waachie wasemaji hayo, wewe zingatia FOCUS.
SawasawaWengi husema "ngoja tuone atafika wapi" au "utaishia wapi." Jifunze kujiamini hata kama huaminiwi. Watu hupenda matokeo, siyo mchakato. Waachie wasemaji hayo, wewe zingatia FOCUS.
AiseeWengi husema "ngoja tuone atafika wapi" au "utaishia wapi." Jifunze kujiamini hata kama huaminiwi. Watu hupenda matokeo, siyo mchakato. Waachie wasemaji hayo, wewe zingatia FOCUS.
πππNi afya kujua kuwa sio kila mtu ame kusudiwa mfike wote katika safari ya maisha, wengine wata kuja na kuishia njiani hata kama una wahitaji vipi ila wata ondoka tu muda wao ukifika, wengine uta fika nao safari, hata kama kuna vikwazo milion lakini mtafika.
βοΈβοΈβοΈNi afya kujua kuwa sio kila mtu ame kusudiwa mfike wote katika safari ya maisha, wengine wata kuja na kuishia njiani hata kama una wahitaji vipi ila wata ondoka tu muda wao ukifika, wengine uta fika nao safari, hata kama kuna vikwazo milion lakini mtafika.
AiseeNi afya kujua kuwa sio kila mtu ame kusudiwa mfike wote katika safari ya maisha, wengine wata kuja na kuishia njiani hata kama una wahitaji vipi ila wata ondoka tu muda wao ukifika, wengine uta fika nao safari, hata kama kuna vikwazo milion lakini mtafika.
πβοΈNi afya kujua kuwa sio kila mtu ame kusudiwa mfike wote katika safari ya maisha, wengine wata kuja na kuishia njiani hata kama una wahitaji vipi ila wata ondoka tu muda wao ukifika, wengine uta fika nao safari, hata kama kuna vikwazo milion lakini mtafika.
β οΈβ οΈβ οΈNi afya kujua kuwa sio kila mtu ame kusudiwa mfike wote katika safari ya maisha, wengine wata kuja na kuishia njiani hata kama una wahitaji vipi ila wata ondoka tu muda wao ukifika, wengine uta fika nao safari, hata kama kuna vikwazo milion lakini mtafika.
βοΈβοΈβοΈUmri sio namba tu pia hupunguza hata ufanisi wa kufanya kazi, usibweteke.
πππUmri sio namba tu pia hupunguza hata ufanisi wa kufanya kazi, usibweteke.