Hatua bora za kukua kiuchumi:-
1. Weka malengo ya kifedha.
2. Jifunze kuhusu usimamizi wa fedha.
3. Tengeneza bajeti na uifuate.
4. Akiba na uwekezaji.
5. Epuka mikopo isiyo ya lazima.
6. Tafuta fursa za kipato zaidi.
7. Tathmini maendeleo yako.
8. Uvumilivu na nidhamu.