Maisha Yako Ya Leo Sio Taswira Halisi Ya Maisha Yako Ya Kesho, Usikate Tamaa! Ukiona Unaonekana Hivo, Ujue Ni Neema Ya Mungu Tu.Unachopitia Sasa Kipe Muda Utanoga Tu, MUNGU Mbele, Bidii Sana, Pambana, Tumia Kila Fursa Kikamilifu

Tupambane sana kutafuta pesa.”lakini tusisahau kuwa na marafiki wachache waaminifu na wenye msaada maishan mwetu....wazaz wanafariki ndugu wanabadilika

Kwa maana kondoo hawachungi majani ili kuwaonyesha wachungaji wamekula kiasi gani; lakini, wakimeng’enya chakula chao ndani, kwa nje hutokeza pamba na maziwa

Mtu ambae amekasirika au alie lewa mzingatie sana maneno anayokwambia, Hayo ni maneno anayotamani kukwambia kipindi akiwa sawa ila ndio hivyo inashindikana.

Kuna watu unawalalamikia hawakusaidii lakini kumbe ni mpango wa Mungu kabisa wasikusaidie usiwalalamikie mshukuru Mungu kwa kukutenga na watu wasio sahihi kwenye maisha yako omba Neema ya Mungu ikukutanishe na watu sahihi usilazimishe ushirikiano usiotoka kwa Mungu