Thamani ya pesa na thamani ya upendo ni vitu viwili tofauti. Pesa hainunui upendo, kama hakupendi ni hakupendi tu. Penzi linalo endeshwa kwa pesa haliwezi kudumu milele
Kuwa na malengo yako, japo ukiwa na matumizi sahihi na pesa zako wanaanza kukuita bahili