myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πβοΈπβοΈHakikisha haushauriwi na watu ambao hata wao pia bado hawana suluhisho la matatizo yao
AiseeHupaswi kuhofia kupoteza , ila unapaswa kuhofia zaidi kuzungukwa na watu wasio sahihi wakati wa ushindi wako
SawaChuki zao ziko ndani ya MATANI wasikilize vzr utapata kitu.
Chuki zao ziko ndani ya MATANI wasikilize vzr utapata kitu.
Ujumbe huuMaisha yajayo hayapangwi ila Ni matokeo ya matendo yako uliyoyachagua kuyafanya kila siku ndio yanayo amua maisha yako ya baadae yaweje , hivyo kila siku amua kupanda mbegu njema ili maisha yako ya baadae yawe na matokeo bora
NakubalianaThamani ya pesa na thamani ya upendo ni vitu viwili tofauti. Pesa hainunui upendo, kama hakupendi ni hakupendi tu. Penzi linalo endeshwa kwa pesa haliwezi kudumu milele
Kuwa na malengo yako, japo ukiwa na matumizi sahihi na pesa zako wanaanza kukuita bahili
SawasawaMaisha yajayo hayapangwi ila Ni matokeo ya matendo yako uliyoyachagua kuyafanya kila siku ndio yanayo amua maisha yako ya baadae yaweje , hivyo kila siku amua kupanda mbegu njema ili maisha yako ya baadae yawe na matokeo bora
SawaKua makini maana ukijitoa Sana kwa ajili ya watu wao huishia kupenda mchango wako kwenye maisha yao na sio kukupenda wewe
πβοΈπβοΈKua makini maana ukijitoa Sana kwa ajili ya watu wao huishia kupenda mchango wako kwenye maisha yao na sio kukupenda wewe
NakubalianaKua makini maana ukijitoa Sana kwa ajili ya watu wao huishia kupenda mchango wako kwenye maisha yao na sio kukupenda wewe
SawasawaHupaswi kuhofia kupoteza , ila unapaswa kuhofia zaidi kuzungukwa na watu wasio sahihi wakati wa ushindi wako
SawaJiepushe kukaa meza moja na watu wanaojadili watu wengine maana ukiondoka wewe ndio utageuka kuwa mada.
Matendo mema muhimuWema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka
πππUelekeo wako ni bora zaidi kuliko kasi yako , wengi wanaharakisha kuwahi kufika kusiko julikana na kusiko na mafanikio yoyote Yale
Ujumbe wa maanaMaisha Yako Ya Leo Sio Taswira Halisi Ya Maisha Yako Ya Kesho, Usikate Tamaa! Ukiona Unaonekana Hivo, Ujue Ni Neema Ya Mungu Tu.
Unachopitia Sasa Kipe Muda Utanoga Tu, MUNGU Mbele, Bidii Sana, Pambana, Tumia Kila Fursa Kikamilifu
SawaWema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka
βοΈβοΈβοΈUelekeo wako ni bora zaidi kuliko kasi yako , wengi wanaharakisha kuwahi kufika kusiko julikana na kusiko na mafanikio yoyote Yale
β οΈβ οΈβ οΈKamwe Mwenyezi Mungu hajawahi acha kua mwema maishani mwetu ni vile wanadamu tumezoea kufanya maamuzi yasio sahihi na wachoyo wa kushukuru kwa wema wake