myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUnapoanza safari yako wengi hawatokuelewa na kukurudisha nyuma lakin wakati wa mafanikio watakupongeza na kujisogeza karibu na wewe,tuendelee kupambana
ππElimu si kujifunza tu ukweli, bali ni kufundisha akili jinsi ya kufikiri
πππMaisha Yako Ya Leo Sio Taswira Halisi Ya Maisha Yako Ya Kesho, Usikate Tamaa! Ukiona Unaonekana Hivo, Ujue Ni Neema Ya Mungu Tu.
Unachopitia Sasa Kipe Muda Utanoga Tu, MUNGU Mbele, Bidii Sana, Pambana, Tumia Kila Fursa Kikamilifu
βοΈπβοΈUnapoanza safari yako wengi hawatokuelewa na kukurudisha nyuma lakin wakati wa mafanikio watakupongeza na kujisogeza karibu wqna wewe,tuendelee kupambana
SawasawaUnapoanza safari yako wengi hawatokuelewa na kukurudisha nyuma lakin wakati wa mafanikio watakupongeza na kujisogeza karibu na wewe,tuendelee kupambana
πππIshi ukitambua kua Hofu haisaidii chochote kile , Bali ni sawa tu na kuliabudu tatizo ingawa wahenga wanasema wasi wasi ndio akili zenyewe hizo
β οΈβ οΈβ οΈMafanikio yapo kwa wale waliotayari kuzipambani ndoto zao, siyo kuziota kama usingizini.
βοΈβοΈβοΈManeno ya busara yanafungua milango ya chuma iliyofunga mioyo ya watu
β οΈβοΈβοΈManeno ya busara yanafungua milango ya chuma iliyofunga mioyo ya watu
πππIshi ukitambua kua Hofu haisaidii chochote kile , Bali ni sawa tu na kuliabudu tatizo ingawa wahenga wanasema wasi wasi ndio akili zenyewe hizo
SawasawaManeno ya busara yanafungua milango ya chuma iliyofunga mioyo ya watu
Ndo tunaamka kurudi sokoni tenaUsiku mwema mliokuwa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini leo