Kamwe usitegemee kila kitu kwenda kulingana na njia yako. Haiwezekani. Kama mambo yataenda tofauti na maombi yako, tambua ni moja ya jaribu kubwa maishani mwako kukupima imani na uvumilivu wako. Usipoteze muelekeo. Endelea kuwa imara. Muda wako u karibu pia kufika.