Pindi moyo wako ukiwa mzito na mzigo na fikra zako hazioni tena njia mbele, ndipo unatakiwa kumuamini Mungu na kumtegemea yeye zaidi. Usifurahie mawazo hasi kutokana na majaribu unayopitia. Kuwa jasiri, najua sio rahisi ila unaweza kufanikiwa. Kuwa mvumilivu na utapata njia tena.