myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Badilika, lakini anza polepole. Kwa sababu, mwelekeo ni muhimu zaidi kuliko kasi.” - Paulo Coelho
NakubalianaBadilika, lakini anza polepole. Kwa sababu, mwelekeo ni muhimu zaidi kuliko kasi.” - Paulo Coelho
✅️✅️✔️Kwenye maisha, jambo muhimu sana unalopaswa kuwa nalo ni uvumilivu.” - Jack Ma
Badilika, lakini anza polepole. Kwa sababu, mwelekeo ni muhimu zaidi kuliko kasi.” - Paulo Coelho
Kuishi ni sanaa, wengine ni karama yao, wengine huipata kwenye malezi, wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." - Balozi Togolani Mavura
Kadri unavyokua kwenye matatizo, kitu cha muhimu zaidi ni kukabiliana nayo na si kuyakimbia.” - Hersi Saidi
Mwisho wa siku, ufunguo muhimu zaidi wa mafanikio ya mtoto ni ushirikiano mzuri wa wazazi.” - Jane Hull
✔️✔️✔️Mwisho wa siku, ufunguo muhimu zaidi wa mafanikio ya mtoto ni ushirikiano mzuri wa wazazi.” - Jane Hull
✅️✅️✅️Mwisho wa siku, ufunguo muhimu zaidi wa mafanikio ya mtoto ni ushirikiano mzuri wa wazazi.” - Jane Hull
Kwenye ndoa au mahusiano, huwezi kupata kila kitu. Angalia kilicho muhimu kwako, kisha ridhika nacho.” - Tony Gaskins
Kwenye ndoa au mahusiano, huwezi kupata kila kitu. Angalia kilicho muhimu kwako, kisha ridhika nacho.” - Tony Gaskins
✅️✅️Safari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi." Twende mpaka mwisho
Kuishi ni sanaa, wengine ni karama yao, wengine huipata kwenye malezi, wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." - Balozi Togolani Mavura
👍Kuishi ni sanaa, wengine ni karama yao, wengine huipata kwenye malezi, wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." - Balozi Togolani Mavura
Safari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi." Twende mpaka mwisho
👍👍Mwisho wa siku sisi wote ni binadamu, tunafanya makosa. Lakini, kujifunza kutokana na makosa ndio kitu muhimu zaidi.” - Kendrick Lamar
📌📌Mwisho wa siku sisi wote ni binadamu, tunafanya makosa. Lakini, kujifunza kutokana na makosa ndio kitu muhimu zaidi.” - Kendrick Lamar
SawasawaSafari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi." Twende mpaka mwisho
👍👍👍“Mwisho wa siku sisi wote ni binadamu, tunafanya makosa. Lakini, kujifunza kutokana na makosa ndio kitu muhimu zaidi.” - Kendrick Lamar
Safari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi." Twende mpaka mwisho