myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu akikubariki nafasi nzuri kwenye maisha saidia wanaohitaji msaada wako, jitahidi kuwa baraka kwenye maisha ya wengine.
Mungu akikubariki nafasi nzuri kwenye maisha saidia wanaohitaji msaada wako, jitahidi kuwa baraka kwenye maisha ya wengine.
Haijarishi uko katikati gizani nene kiasi gani usife moyo mbele kuna taa,mbele kuna nuru karibu itatokeza.
HAKUNA GIZA LINALODUMU UKIONA KUNA GIZA UJUE KUNA NA NURU
Safari ya Mafanikio huwa ni safari ngumu inayoumiza ,inayochosha na kukatisha Tamaa
Lakini uking'ang'ana pasipo kukata tamaa utakula matunda ya kazi yako.
Chochote unachokiona Leo kimezaa matunda ya kuliwa ,matamu na kutamaniwa ujue kuna gharama imelipwa
✅️✅️✅️Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
✅️✅️✅️Mungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
📌📌📌Mungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
✔️✔️✔️Kunguru huwa na mwenza mmoja tu katika kipindi chote cha maisha yake. Kama mmoja kati yak atakufa mapema mwingine atabaki Mjane (Single) mpaka atakapokufa, hakuna kuchepuka
✅️✅️✅️Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
Kunguru huwa na mwenza mmoja tu katika kipindi chote cha maisha yake. Kama mmoja kati yak atakufa mapema mwingine atabaki Mjane (Single) mpaka atakapokufa, hakuna kuchepuka
📌📌📌Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
SawasawaMungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
SawaKuwa mwepesi wa kusamehe, jifunze kunyamaza mwache Mungu atende ilivyo sahihi
Mafanikio siyo matokeo ya bahati tu, bali ni matokeo ya juhudi za kila siku, uvumilivu, na imani katika ndoto zako. Kadri unavyosonga mbele, usisahau kwamba hatua ndogo pia zina nguvu ya kubadilisha maisha
Muda wa utoto ukitumika KUJIFUNZA vitu vya maana, muda wa ujana utatumika KUFANYA vitu vya maana na muda wa utu uzima utatumika KUISHI maisha ya maana na muda wa uzee utatumika KUELEKEZA mambo ya maana.

katika maisha kuna mtu au watu wanaweza kukuinua, kukupa daraja au ngazi na kukusogeza hatua flani... lakini kwanza nilazima wewe ufanye harakati za kuwasogelea hao watu