myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
katika maisha kuna mtu au watu wanaweza kukuinua, kukupa daraja au ngazi na kukusogeza hatua flani... lakini kwanza nilazima wewe ufanye harakati za kuwasogelea hao watu
SawasawaMuda wa utoto ukitumika KUJIFUNZA vitu vya maana, muda wa ujana utatumika KUFANYA vitu vya maana na muda wa utu uzima utatumika KUISHI maisha ya maana na muda wa uzee utatumika KUELEKEZA mambo ya maana.

✅️✅️Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
👍👍Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
✔️✔️✔️Mungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
✅️✅️✅️Mungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
SawaKunguru huwa na mwenza mmoja tu katika kipindi chote cha maisha yake. Kama mmoja kati yak atakufa mapema mwingine atabaki Mjane (Single) mpaka atakapokufa, hakuna kuchepuka
Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
✔️✔️✔️Kunguru huwa na mwenza mmoja tu katika kipindi chote cha maisha yake. Kama mmoja kati yak atakufa mapema mwingine atabaki Mjane (Single) mpaka atakapokufa, hakuna kuchepuka
✅️✅️Mungu akupe haja ya moyo wako, akuondolee majivuno na kiburi,akupe afya, amani ya moyo na fedha ili umasikini usifubaishe sura yako kamwe
NakubalianaMungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
AiseeKunguru huwa na mwenza mmoja tu katika kipindi chote cha maisha yake. Kama mmoja kati yak atakufa mapema mwingine atabaki Mjane (Single) mpaka atakapokufa, hakuna kuchepuka
AiseeMungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
Mungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
✔️✔️✔️Mungu aisikie sauti yako kwa chochote utakachomuomba siku ya leo
✅️✅️Usiongee jambo lolote bila kuwa na uhakika.
✔️✔️✔️Ukikopeshwa na ukabahatika kuzipata fedha ndani ya muda usisubiri paka upigiwe ujiongeze rudisha hela ya watu
AiseeUsiongee jambo lolote bila kuwa na uhakika.
📌📌📌Ukikopeshwa na ukabahatika kuzipata fedha ndani ya muda usisubiri paka upigiwe ujiongeze rudisha hela ya watu
✅️✅️✅️Ukipanda kwenye basi jitahidi kumsalimia jirani utakaemkuta kwenye siti